On a Tour / Kwenye matembezi
- This is the itinerary for tomorrow.
Hii ndio ratiba ya kesho.
- Please be there on time.
Tafadhali fika kwa wakati.
- The coach will pick you up at 8 o’clock.
Basi litakuchukua saa mbili.
- It’s a 40-minute drive.
Ni safari ya dakika 40 (arobaini).
- The tour starts at the museum.
Matembezi yataanzia makavazini.
- We’ll stop for lunch at 1.30.
Tutakula chakula cha mchana saa saba na nusu.
- We’ll visit the bazaar after lunch.
Tutakwenda sokoni baada ya chakula cha mchana.
- We’ll drop you at your hotel at the end of the tour.
Tutakurudisha hotelini baada ya matembezi.
Help us get it right!
Tell us what topics you want to learn or how we can make Essential English better.
contact us